Tecno H6 bei poa

Joined
Mar 9, 2014
Posts
69
Reaction score
5
Nauza tecno h6 Tsh 150,000 nzima aina tatizo haina michubuko na nimeinunua kama miezi miwili iliopita..naiuza coz nataka kuchange aina ya simu...Napatikana Moro kwa anaehitaj and kwa picha zaidi anicheck WhatsApp kupitia 0717628465 au email yangu haidaryhassan19@gmail.com.
 

Attachments

  • 1431627885739.jpg
    10.7 KB · Views: 288
  • 1431628007505.jpg
    9.4 KB · Views: 259
Kwan ikiwa mpya sh ngap?hyo 170 hupat mtu dogo kaa nayo ikuozee.
 
Bei unayoiuziaa ni zaid ya bei ya hio sim ikiwa dukan vipe ina appreciate, ,, if nat wauzie msamvu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…