Sijawahi tumia Tecno..
Nilianza na Huawei Y 330 ...
Sony Xperia z4
Samsung G530
Iphone 6+ Yenye Gb 16 Room
Now Huawei mate 8 shida ya tekino mmebase kwenye camera Kama vile simu ni kamera Tuu anyway watumiaji wenu wengi ni Vilaza ๐คฃ๐๐
Sijawahi tumia Tecno..
Nilianza na Huawei Y 330 ...
Sony Xperia z4
Samsung G530
Iphone 6+ Yenye Gb 16 Room
Now Huawei mate 8 shida ya tekino mmebase kwenye camera Kama vile simu ni kamera Tuu anyway watumiaji wenu wengi ni Vilaza [emoji1787][emoji23][emoji23]
Tecno simu za wanyonge,itabaki kuwa ya wanyonge kutokana na teknolojia yake,huwezi linganisha na Apple au Samsung au Nokia.
Ila isingekuwa tecno wanyonge wangeishia kuona smartphone kwenye TV.