S5 ni nzuri na bora zaidi ya C8
Kwanza S5 ina finger print
Pili display ya S5 ni super amelod na ina protection ya gorilla glass 3 wakati C8 ina display ya IPS ambayo ina mwanga hafifu na kwenye jua haionekan vzur.
Tatu ni RAM S5 ina 2GB wakati c8 ina 1GB
Nne ni processor S5 ina processor ya Quad-core 2.5 GHz Krait 400 ina nguvu na speed wakati c8 ina processor ya 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset hii ikiwa na uzaifu mkubwa hasa speed yake.
Nne ni camera S5 ina camera mbili ya nyuma ina 16 megapixel na ya mbele ina 2 megapixel ambazo zote ni HD wakati c8 nayo ina camera mbili ya nyuma ni 13 migepixel na ya mbele ni 5 megapixel hii camera zake hazina uang'avu ambao utaupata kwenye camera za S5
Tano S5 ina LTE(4G) wakati c8 haina LTE
Natumaini kwa haya machache utakua umepata mwanga kidogo.