Tecno boom j8 mpyaaa inauzwa bila headphone, wahi sasa

baba-mwajuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
6,057
Reaction score
12,793
nimeletewa zawadi ya Tecno boom j8, ila sina mpango wa kuitumia, simu ni mpya kabisa rangi ya dhahabu utapewa na box lake lenye

1. cover moja la simu la kufunika la leather, lina rangi ya dhahabu sawa na simu
2. chaja ya simu
3. usb cable
4.warranty ya simu
5. makaratasi ya manual na document mbalimbali

kuijua Zaidi unaweza angalia picha zake hizi
3t58T2q.jpg

9XPRXJE.jpg

tuje kwenye bei sasa, mimi nimeona bei fair ya kuiuza ni shilingi 280,000 kama mtu anahisi hii ni simu sahihi kwake asisite kunitumia msg au kupiga namba hii

+255682954575

wote mnakaribishwa kwa maswali Zaidi, siku njema
 
Bei tutaelewana
 
ipo? kuna laki

ipo? kuna laki2 cash nataka nimpelekee mtu kesho tu.
 
Mkuu nipo Dar laki 2 Hata Kesho niambie tumeet nikupatie
 
Naona uliweka pambo tu hapa, maana hata Namba zenyewe huresponse, wakat mwsho wa mwez Umefika[emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom