sijaitumia ila nimependa muonekano wake . housing yake iko vizuri kuliko ya C8 na pia front camera iko vizuri kuliko C5,C8 na J7Wiki iliyopita nimenunua simu aina ya Tecno boom J8 baada ya kusikia sifa zake nyingi kwa watu wanao zitumia lakini cha ajabu baada ya kuinunua wala sijaifurahia kabisa
Kwanza touch sensitivity iko very low
Camera quality is poor wanasema 13px lakini kimsingi itakuwa chini ya hapo labda wanatumia lugha ya kibiashara tu
Screen resolution iko chini sana
Ninawasiwasi na processing speed yake.
Ki msingi sijaifurahia japo imekuwa ikipigiwa promo sana
Kama kuna mtu ambaye amesha tumia hii simu aje hapa atupe feedback
Kwa upande wangu sija-experience hiyo shida ya touch lkn hata Camera pia.Wiki iliyopita nimenunua simu aina ya Tecno boom J8 baada ya kusikia sifa zake nyingi kwa watu wanao zitumia lakini cha ajabu baada ya kuinunua wala sijaifurahia kabisa
Kwanza touch sensitivity iko very low
Camera quality is poor wanasema 13px lakini kimsingi itakuwa chini ya hapo labda wanatumia lugha ya kibiashara tu
Screen resolution iko chini sana
Ninawasiwasi na processing speed yake.
Ki msingi sijaifurahia japo imekuwa ikipigiwa promo sana
Kama kuna mtu ambaye amesha tumia hii simu aje hapa atupe feedback
Specification zao huenda ukakuta za ki promo promo. Unadhani kwa mini hawapo gsmarena?Dah! mbona mnanipa mashaka kwa sababu katika promo yao wamenishika hadi nimeshawishika niuze hii c5 yangu ni move kwenye hii j8.
Nimejaribu kupitia ktk specifications zake kiukweli inajieleza vzr lkn mbona kuna manunguniko?
Hebu mlioinunua tuwekeni sawa kabla hatujauvaa mkenge
Exactly.....!!!tecno wapo poa sana, sijawahi kukutana na tatizo lolote katika simu zao juzi tu nimetoka kumnunulia mchuchu w4 nkaitumia kwa siku 3 mfululizo inakaa na charge mpaka raha hapo data ikiwa on full time na pia naperuzi kwenye social networks na websites tofauti non-stop, kitu ina android 6.0 marshmallow so light and sleek design halafu inapata OTA system updates pia, coz nilipoweka data on tu ikawa inadai ni download system optimization update ya android 6.0 nayotumia ili kufix bugs n.k.
Tecno ni simu nzuri kwa uzoefu wangu ingawa labda wangebadilisha marketing stratergies zao tokea awali, ingekuwa poa zaidi wangekuja na jina jipya kipindi walipotransform tokea kwenye feature phones kuja katika uundaji wa smartphone za android maana ninachokiona ni ile kasumba ya watu wengi kuichukulia kuwa ni inferior brand kwa kuwa walianza na simu zilizofahamika kuwa ni za kichina enzi zile kabla ya simu za smartphones kujizolea umaarufu tokea kwa makampuni makubwa ya simu ulimwenguni.
Nunua soda naja kulipiakwenye kununua simu kuna kitu watu wengi hawakiangalii, nacho ni kabla hujanunua hio simu ulikuwa unatumia simu gani?
kama unatoka galaxy s7 au iphone 7 na kuja kununua boom j8 ni lazima utaona kila kitu kibaya, ila kama unatoka tecno y3 na kununua j8 utaona upo dunia nyengine kwa uzuri wa simu.
huwa kikawaida simu za kichina zina lantency kubwa kwenye kugusa kioo, unapogusa kioo hadi simu kuhisi kuguswa inachukua muda mrefu, angalia hii graph ni ya mda kidogo ila itakupa mwanga
hizo ni latency za kioo
ndio maana unakuta iphone 4s kioo chake kidogo ila unatype vizuri kuliko simu ya kichina yenye kioo kikubwa.
kuhusu camera megapixel sio quality ya camera, camera inaweza kuwa na megapixel nyingi ikawa na sensor ndogo na quality ndogo
na kioo kinaweza kuwa na resolution kubwa ila ikawa imetumika technology dhaifu kutengeneza, mfano kioo cha super amoled huwezi kifananisha na TFT lcd au NT panel.