Wadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.

Mkuu, kwa hilo suala kwa tecno ni haki yake ya kimsingi kabisa coz nilishakutana nayo hiyo mambo.
Ingekuwa simu kama Samsung ningeona ni maajabu kwa kweli ila kwa tecno na baadhi ya huawei au Itel ni kawaida kabisa kuona unfortunately com.android.process has stopped ni haki kufanya hivyo mkuu.