Wadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
Flash kwa sp flash tool mkuuWadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
Nend KaiformatiWadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
Ingekuwa ni simu nyingine ningeona maajabu sana.
Ila kwa tecno ni halali kabisa kufanya hivyo wala usishangae ni haki yake ya kimsingi kabisa.
Pole sana.
mkuu mbavu zangu![]()
![]()
mkuu mbavu zangu
Haihitaji ku root iflash tuNi rooted au unrooted?