Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,041
Hii picha itakuwa imepigwa kwa simu aina ya Tecno. Nyingi ukipiga selfie picha inatoka kiarabu. Au utafikiri kioo.
TeamTecno povu ruksa.
TeamTecno povu ruksa.
Hiyo ni tecno. Kama una tecno we piga tu selfie kwenye maandishi ndio utaona kiarabu. Usione aibu.nilijaribu kutumia tecno,baada ya masaa tu nikaona bora kitochi changu cha NOKIA
Hii ni samsungebu tuwekee ya simu nyingine
Hii ni samsung. Nimeipiga kama selfieebu tuwekee ya simu nyingine
hahahahahahah