Hi Mabibi na Mabwana!
Tunaitambulisha rasmi TECHTRAIN ACADEMY, kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania na kupitia taratibu zote za usajili na ulipaji kodi ikiwa na lengo la kutoa mafunzo mafupi mafupi yaani Short Courses na ushauri yaani Consultancy kwenye eneo la ICT hususani DATA SCIENCE.
Kwa kuanzia tunatarajia kutoa kozi fupi ya siku nne 02/05/2017 hadi 05/05/2017 jijini DAR ES SALAAM ikiwa na anuani ya ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING.