Technology ya Google inaharibu elimu yetu

Technology ya Google inaharibu elimu yetu

imeharibu kwa namna gani? Mi naona imetusaidia zaidi kupata habari ziwe za kitaaluma ama za kijamii...

Kwa jinsi ilivyo ni rahisi kuelimika katika kada mbalimbali kuliko ilivyokuwa awali. Jambo la muhimu ni namna mtu anavyotumia teknolojia, itumie kwa kujifunza na utaona kuwa imekuza elimu zaidi na sio vinginevyo.
Ni rahisi hata unapofanya ''dissertation'' kuwa na uhakika na unachokifanya kwa kupata taarifa muhimu na ambazo pia ni relevant....

Asante kwa kutupatia tafakuri..
 
Back
Top Bottom