Reedrichards
Member
- Aug 21, 2014
- 6
- 0
Enzi za wazee wetu hapakua na search engines wazee wetu walijifunza kutumia akili zao kutunza kumbukumbu.
Kwa kizazi chetu cha kisasa computer na simu zinajua vitu vingi kuliko sisi, ubaya ni kwamba hata namba muhimu tumezitunza ndani ya simu, namba ya kadi ya benki, namba mita ya umeme, kumbukumbu muhimu.
Hapo hamna shida sana. Tatizo linakuja pale ambapo wanafunzi wa elimu ya juu wanapotumia simu za kisasa kujibu mitihani, simu android zimekua zikitumika sana ma vyuoni kuliko hata chabo za kuandika, unakuta mtu ana google point zote in 10 minutes anamaliza mtihani, anapata A hata B lakini kichwani hamna kitu.
Kwa mtindo huu vyeti havita aminiwa tena na ubora wa mwanafunzi utakuwa wa kubahatisha.
Tuacheni.