technology gani inaongoza duniani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,116
2,000
kila siku teknologia inazidi kukua.je kuna mahali naweza pata kujua ni teknologia gani zipo juu kwa sasa
mf. teknologia ya kufungua baadhi ya apps katika simu kwa kupepesa macho tu.hii ipo ktk samsung galaxy s4 kama sikosei
 

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,239
2,000
Haiwezekani pakawepo na universally acceptable benchmark for teknolojia bora. Hapo umetoa mfano wa simu tu, lakini teknolojia ni pana zaidi ya hapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom