Technologia ya App's Furaha kwa Mobile Companies

Technologia ya App's Furaha kwa Mobile Companies

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
Technologia inakuwa sana, na katika hilo kunakuwepo na faida na hasara kwenye jamii zetu. Bara la Africa limepokea kwa kasi sana matumizi ya simu za mikononi na katika kuchangamkia fursa hiyo pamekuwepo mna mfumumko mkuwa sana kwenye uzalishaji wa Apps za kila aina. Sheria ya mitandao imeshidwa kuthibiti ukuaji wa online Apps, na hapa ndo weankness kubwa kwa serikali za nchi mbalimbali. Mtu akimaka amka anaaanzisha ya kwakwe kwa matumizi atakayo, lakini pia baadhi ya hizi Apps zimesaidia kwa kiasi kikubwa na kurahisisha maisha ya watu. Ukiangalia sekta ya kilimo, bishara, elimu, usafirishaji, siasa, jokes, miundominu, afya, etc. kuna Apss nyingi sana ambazo zimesaidia na kutoa elimu kwa jamii kwa mambo mbalimbali. Japo kuwa kuna zingine zinatengenezwa kwa misingi mibaya ya ku-hack, kuiba, kudukua taarifa za siri.

Kwa upande wa pili implication ya hizi Apps kwa mobile companies ni furaha, shangwe na nderemo. Hii ni kwasababu watu wanatumia sana DATA au MB kwa ajili ya kuangalia nini kinaendelea kwenye mitandao mbalimbalia. Nafikiri itafika kipindia mabacho cost matumizi ya MB inaweza kuwa sawa na making calls. Nimejaribu kuongea na rafiki yangu ambaye ni regulator wa mambo ya calls na data kwenye kampuni moja anasema kwa siku wanatengeneza bilions of money per day as a results ya matumizi ya data kwa watumiaji.

Ni matumaini yangu kuwa mfumumko wa matumizi ya online, Apps na mengineyo kwenye technologia ya sasa itawasaidia watu kubadilisha, kuboresha na kuinua maisha wa watumiajia wa technologia hizi
 
Back
Top Bottom