Technogy

Technogy

Mrage Hemedi

Member
Joined
May 8, 2019
Posts
13
Reaction score
7
Jamani Naomba kuuliza,,
Kuna mtu Aliniambia anaunganisha bundles za Mtandao fulani,,Nikamtumia pesa ili aniunge badala yake akakimbia mazima,,Namba yake naiona iko active WhatsApp na hata kawaida anapatikana,,Je Nawezaje kumfatilia na kutambua Alipo????
 
Hapo unatakiwa kuongea na mizimu Sasa! Namaanisha uumroge maana sababu ya kumroga unayo,nia unayo na uwezo wa kumroga unao!..😁
 
Mh! Mkuu sorry huyo mtu namba yake inaishia 23..???
Kama inaishia hivyo tutumie demokrasia tu achana na maswala ya mizimu haya Mambo yanazungumzika!,dunia tunapita tu...😣
 
Bando GB 1 mitandao ya simu wanauza kwa sh 2000, Ila anatokea mtu anakwambia GB 1 atakuuzia kwa sh 500, na wewe unakubali? Huna akili
 
Kama shekeli IPO nenda polisi utumie laki 3 kumkamata mtu aliyekutapeli elfu Kumi na Tano
 
Bongo njaa sana unakuta mtu anatamani anatapeli 10000 au 15000 sasa hiyo sijui inasaidia nn hela ndogo hivyo
 
Back
Top Bottom