Techno phantom a±(f7)

Techno phantom a±(f7)

bongemtam

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Simu tajwa hapo juu iko sokoni,mwenye kuitaka awasiliane nami kwa no 0713228915 niko dar bei ni 340,000 simu hajawahi tumiwa!
 
ImageUploadedByJamiiForums1404385805.401982.jpg


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ameomba msaada nimuwekee pic


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wadau Picha hizo hapo juu,kazi kwenu


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mkuu mbona wewe unatumia iPhone? Ungetumia TECNO Phantom A+ ungevuta wateja wengi, lakini hii ya plus minus naona itakuwa kiboko kweli kweli maanake sijawahi kuhisikia!! Usinielewe vibaya, hapa nataka kufurahisha wanajamvi, ukweli wa mambo Phantom A+ ni nzuri sana kwa wasiopenda makuu.
 
Ni typing error tu mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ni typing error tu mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hapa nilikuwa na kuchemsha tu mkuu, I knew ni typing error - nikawa najiuliza hivi hii simu imegehuka lini kuwa square root ya namba za Kichina? Siunajua tena softtouch keys za smartphones hazijakaa ki -qwerty qwerty sana mkuu!! Goodday.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom