Technically, Tanzania hakuna upinzani tena

Tunajenga nchi pamoja, kwa nini tupinge, hata Mimi ni Chadema, naona madaraja ya busisi, SGR, lami Kila Kona, madarasa, Stiglers. Yaani mpaka tunakosa Cha kupinga
Mbona wakati wa magufuli mlipinga madaraja lakini mkawa wa kwanza kupandisha makalio juu na kujipitisha?
 
Upinzani ni GENGE LA KILAGHAI LA KISIASA lenye makao makuu TEETH.

Muigizaji mkuu ni MBOWE / MANGI MINOTI
 
Siasa za bongo ni wastage of time kama huli asali.
 
Tunajenga nchi pamoja, kwa nini tupinge, hata Mimi ni Chadema, naona madaraja ya busisi, SGR, lami Kila Kona, madarasa, Stiglers. Yaani mpaka tunakosa Cha kupinga
Wafute upinzani Sasa kama hamna alternative solutions
 
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.

..practically hakupaswi kuwa na vyama vinaitwa upinzani na vingine vyama tawala.

..tunatakiwa tuwe na vyama vya siasa na vyote vinatoa mawazo,mitizamo, na sera kuhusu namna ya kuendesha nchi.

..kama ulichokisema ni sahihi basi siasa zetu sasa zimepata muelekeo mpya, na sahihi.
 
Ninyi ndo wale ambao wkt upinzani unasulubiwa mlikuwa mnafurahia na kuukejeri , sasa mnaumia maana hamuoni tena zile siasa zenu za kichatto chatto, siasa za kutekana tekana... uporaji, kubambikiana kesi za kijinga kijinga....kwenu ilikuwa furaha sasa hayo mambo yamepotea mnajifanya kununa na kusema hakuna upinzani Tanzania....basi anzisha ww huo upinzani wa kweli, acha kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…