The whole opposition movement in Tanzania has been deadly poisoned and corrupted difficult to be resuscitated to life just because of honey-smeared bread......too pathetic
Lini uliwahi kuwepo?. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe na Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
P
Mwenye macho haambiwiTangu enzi za kikwete na magufuli mnasema hivyo mpaka leo. Hamchoki?
Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Sio bahati mbaya hata kidogo.Nchi imekuwa ya ajabu, wati hawazungumzi maendeleo, kazi, miradi kama bwawa la Nyerere, barabara, reli n.k badala yake kiongozi wa nchi yuko busy na petty issues. Inasikitisha sana.
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
2006-2015 ulikuwepo.Kwani lini kulikuwa na upinzani?
Bahati mbaya sana wale wenye vinasaba vya upinzani hawana akili mfano Mr LemaKwani lini kulikuwa na upinzani?
Hawa wapinzani kwa jina na matendo ila mioyo yao na dhamira zao sio wapinzani bali ni wasaka fursa ,mfano yule mkanada anasema eti hategemei siasa kama kazi tukimuuliza atuonyeshe tax return hana chochoteLini uliwahi kuwepo?. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe na Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
P
JPM hawezi kukusaidia kujua hayo maana hakuruhusu kabisa upinzani wowote dhidi yake ila alitumia mabavu kuukandamiza na wengine aliwanunua kwa rushwa ya kuwapa vyeo.Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
JPM aliwanunua wazi wazi tena wale dagaa. SSH amewanunua mapapa sirini.JPM hawezi kukusaidia kujua hayo maana hakuruhusu kabisa upinzani wowote dhidi yake ila alitumia mabavu kuukandamiza na wengine aliwanunua kwa rushwa ya kuwapa vyeo.
Yakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.
Upinzani ni Idelogy mkuu au wewe ulifundihwa vipi shuleni? Kwamba Upunzani ni chama? Ideology haifi,Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Upinzani ni Idelogy, huwezi iua, Upinzania sio mtu, wala chama, mulienda kusomea ufala shuleni?Kwani lini kulikuwa na upinzani?
We mjinga upinzania ni Ideology na upinzani upo hata ngazi ya Familia, upinzani sio mtu wala Chama cha siasa, punguza ujingaHii kauli mmeiongea Tangu enzi za Makomeo kuwa upinzani ushajifia
Ndio muda sasa wewe uzungumzie, kama unaona hawazungumzii shika MicNchi imekuwa ya ajabu, wati hawazungumzi maendeleo, kazi, miradi kama bwawa la Nyerere, barabara, reli n.k badala yake kiongozi wa nchi yuko busy na petty issues. Inasikitisha sana.
Upinzani upi? Hata wakati wa Chama kimoja kulikuwa na upinzania, shida yako na ujinga wako unazania Upinzani ni MboweYakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.
Upinzania kumbe ni Mbowe?Mbowe aongezewe buyu la asali
Upinzani ni ideology pia hata wewe unaweza kuwa mpinzania hakuna alie zaliwa kuwa msemaji wa mwingine, shika MicSiasa ya Tanzania inafanywa kama ajira kwa viongozi wa vyama na wapambe wao.