Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
much obliged sirKama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices /choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
...
Yakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani...
We hujui kitu, CCM ndio inaliwa hivyo! Humjui nguli Mbowe wewe.Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
The whole opposition movement in Tanzania has been deadly poisoned and corrupted difficult to be resuscitated to life just because of honey-smeared bread......too patheticKama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
BABA YENU MAGUFULI SI ALISEMA AMEUUAKama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Lini uliwahi kuwepo?. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe na Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Ni hayo tu.
HaYakumbukeni maneno ya hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyekuwa nabii wa kweli wa taifa hili.alisema upinzani wa kweli utaoka ndani ya chama tawala na si vinginevyo.
Ushauri mzuri sana huu...Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Kwani upinzani ni nini?Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Wanapita mulemule alimopita Mrema!
Yule mwingine alikuwa "ananunua" kwa rejareja,"Mama" kachuuza genge zima.
Ndiyo maana tunawaambia humu kwamba CCM bado ipo sana madarakani,ANC na ZANU-PF watatangulia kutoka.
Shida wala siyo Katiba mpya wala tume ya uchaguzi ni kelele za kutaka kuonwa,waitwe kupozwa basi.
Ni kama Handshake ambayo Ruto amesema wazi haitaki vikaanza vitisho vya kuhamasisha maandamano.
Njaa imetuletea Trojan horses kwenye siasa za nchi.