PreGE2025 TEC ni wakati wenu wa kuongoza Maandamano nchi nzima tupate Siasa Safi, Utawala wa Sheria, Maendeleo thabiti ya Mwananchi. NO REFORMS NO ELECTION!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.

Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.

Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.

CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna Uchaguzi... Na Mwenyekiti LISSU anasema 'Kama Mabadiliko hayaji kwa Amani ni lazima tukinukishe !!.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

JESHI LA POLISI Hata Wakati ambao Kampeni hazijaanza, Tayari wameonyesha Upendeleo, uonevu mkubwa Kwa LISSU na CHADEMA, Naam Sasa ikiwa hali ndio hiii na Kampeni bado, na hata huo uchaguzi bado, Je bila Mabadiliko, siwatahakikisha Kilichotokea 2020 ndicho kinajirudia??.

JESHI linamshikilia LISSU Kwa Uhaini na Uchochezi wa kuzuia Uchaguzi 2025 yaan Jeshi linamkamta LISSU Kwa sababu ya 'NIA' , Kwa Lugha nyingine LISSU akiamua kusema tunaingia uchaguzi hivohivo, Huo Uhaini na Uchochezi unakua HAUNA MAANA TENA.

WITO wangu Kwa TEC Tangazeni Maandamano ya AMANI ya Nchi Nzima Sikukuu ya PASAKA na WAKRISTO wote na WAISLAM wote ambao mnaamini katika HAKI kuhudhuria maandamano hayo !!.

TEC Tanzania ni wakati wenu huu kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Bandari kapewa Mwarabu.

Ngorongoro Kapewa Mwarabu .

Nchi knazidi kutafunwa na kutafunwa .

TEC itisheni Maandamano Nchi Nzima sikukuu ya PASAKA !!!.

NO REFORMS, NO ELECTION !!

MUNGU MLINDE TUNDU LISSU!!.
 
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.

Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.

Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.

CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna Uchaguzi... Na Mwenyekiti LISSU anasema 'Kama Mabadiliko hayaji kwa Amani ni lazima tukinukishe !!.

JESHI LA POLISI Hata Wakati ambao Kampeni hazijaanza, Tayari wameonyesha Upendeleo, uonevu mkubwa Kwa LISSU na CHADEMA, Naam Sasa ikiwa hali ndio hiii na Kampeni bado, na hata huo uchaguzi bado, Je bila Mabadiliko, siwatahakikisha Kilichotokea 2020 ndicho kinajirudia??.

JESHI linamshikilia LISSU Kwa Uhaini na Uchochezi wa kuzuia Uchaguzi 2025 yaan Jeshi linamkamta LISSU Kwa sababu ya 'NIA' , Kwa Lugha nyingine LISSU akiamua kusema tunaingia uchaguzi hivohivo, Huo Uhaini na Uchochezi unakua HAUNA MAANA TENA.

WITO wangu Kwa TEC Tangazeni Maandamano ya AMANI ya Nchi Nzima Sikukuu ya PASAKA na WAKRISTO wote na WAISLAM wote ambao mnaamini katika HAKI kuhudhuria maandamano hayo !!.

TEC Tanzania ni wakati wenu huu kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Bandari kapewa Mwarabu.

Ngorongoro Kapewa Mwarabu .

Nchi knazidi kutafunwa na kutafunwa .

TEC itisheni Maandamano Nchi Nzima sikukuu ya PASAKA !!!.

NO REFORMS, NO ELECTION !!

MUNGU MLINDE TUNDU LISSU!!.
sasa upendeleo gani
nilisema mdomo utamponza tena lisu, ulimponza sana hapo nyuma hadi kupelekea kuchapwa marisasi.
sasa ameingia kwenye uhaini kisa domo lake.
this time asubiri hadi january 2026 kwa huruma ya mama ndo atatoka, anaefuata ni lema kama hatakimbia usiku huu.
heche hana shida alitahiriwa bila ganzi so alipata mafunzo ya hekima
 
Huyo mjinga alikuwa anatamka waziwazi kwamba anaandaa uhaini. Kuwa mwanasiasa haikufanyi uwe juu ya sheria
Lisu namkubali kwa ujasiri pekee ila domo lake ni chafu sana.
wacha aonje mfueni.
mbowe alikaa kimya hata aliposhtakiwa, sasa huyu domo kaya ametuharibia upinzani this time hakuna chadema tena
 
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.

Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.

Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.

CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna Uchaguzi... Na Mwenyekiti LISSU anasema 'Kama Mabadiliko hayaji kwa Amani ni lazima tukinukishe !!.

JESHI LA POLISI Hata Wakati ambao Kampeni hazijaanza, Tayari wameonyesha Upendeleo, uonevu mkubwa Kwa LISSU na CHADEMA, Naam Sasa ikiwa hali ndio hiii na Kampeni bado, na hata huo uchaguzi bado, Je bila Mabadiliko, siwatahakikisha Kilichotokea 2020 ndicho kinajirudia??.

JESHI linamshikilia LISSU Kwa Uhaini na Uchochezi wa kuzuia Uchaguzi 2025 yaan Jeshi linamkamta LISSU Kwa sababu ya 'NIA' , Kwa Lugha nyingine LISSU akiamua kusema tunaingia uchaguzi hivohivo, Huo Uhaini na Uchochezi unakua HAUNA MAANA TENA.

WITO wangu Kwa TEC Tangazeni Maandamano ya AMANI ya Nchi Nzima Sikukuu ya PASAKA na WAKRISTO wote na WAISLAM wote ambao mnaamini katika HAKI kuhudhuria maandamano hayo !!.

TEC Tanzania ni wakati wenu huu kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Bandari kapewa Mwarabu.

Ngorongoro Kapewa Mwarabu .

Nchi knazidi kutafunwa na kutafunwa .

TEC itisheni Maandamano Nchi Nzima sikukuu ya PASAKA !!!.

NO REFORMS, NO ELECTION !!

MUNGU MLINDE TUNDU LISSU!!.
Hiyo TEC ni chama gani cha siasa na kilianzishwa lini?
 
kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Hii No Reforms No Election 2025 ni la waTanzania wote, ni makosa kuchagiza moja ya jamii ya KiTanzania libebe jambo hili kubwa na zito.

Hili suala silo la TEC wala Shura ya Maimamu Tanzania au Tundu Lissu na CHADEMA

WaTanzania wote bila kujali vyama, mirengo ya kidini, kanda, jinsia, matajiri au masikini sote kwa pamoja tulivalie njuga.

Maana sababu tunayo, nia tunayo, uwezo kama umma mpana yaani nguvu ya umma tunayo, kilichobaki ni kumpiga CCM na No Reforms No Election 2025 bila ya kukoma au kusita bali tuweke mbinyo endelevu hadi kieleweke 2025
 
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.

Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.

Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.

CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna Uchaguzi... Na Mwenyekiti LISSU anasema 'Kama Mabadiliko hayaji kwa Amani ni lazima tukinukishe !!.

JESHI LA POLISI Hata Wakati ambao Kampeni hazijaanza, Tayari wameonyesha Upendeleo, uonevu mkubwa Kwa LISSU na CHADEMA, Naam Sasa ikiwa hali ndio hiii na Kampeni bado, na hata huo uchaguzi bado, Je bila Mabadiliko, siwatahakikisha Kilichotokea 2020 ndicho kinajirudia??.

JESHI linamshikilia LISSU Kwa Uhaini na Uchochezi wa kuzuia Uchaguzi 2025 yaan Jeshi linamkamta LISSU Kwa sababu ya 'NIA' , Kwa Lugha nyingine LISSU akiamua kusema tunaingia uchaguzi hivohivo, Huo Uhaini na Uchochezi unakua HAUNA MAANA TENA.

WITO wangu Kwa TEC Tangazeni Maandamano ya AMANI ya Nchi Nzima Sikukuu ya PASAKA na WAKRISTO wote na WAISLAM wote ambao mnaamini katika HAKI kuhudhuria maandamano hayo !!.

TEC Tanzania ni wakati wenu huu kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Bandari kapewa Mwarabu.

Ngorongoro Kapewa Mwarabu .

Nchi knazidi kutafunwa na kutafunwa .

TEC itisheni Maandamano Nchi Nzima sikukuu ya PASAKA !!!.

NO REFORMS, NO ELECTION !!

MUNGU MLINDE TUNDU LISSU!!.
Kwa kuwa hao TEC wanamiliki hii Nchi si ndio? 😁😁
 
Mnataka dini ziingie kuchochea machafuko kama Rwanda yaliyowakuta? Kisa Lissu mkatoliki?? Ujinga mkubwa sn!!
 
Nani kakuambi LISSU anachochea machafuko??.

LISSU kama sehem ya watanzania kachagua kua Kiongozi tu wa Vuguvugu hili la Katiba MPYA na Mabadiliko Mfumo mzima wa Uchaguzi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.

Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.

Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.

CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna Uchaguzi... Na Mwenyekiti LISSU anasema 'Kama Mabadiliko hayaji kwa Amani ni lazima tukinukishe !!.

JESHI LA POLISI Hata Wakati ambao Kampeni hazijaanza, Tayari wameonyesha Upendeleo, uonevu mkubwa Kwa LISSU na CHADEMA, Naam Sasa ikiwa hali ndio hiii na Kampeni bado, na hata huo uchaguzi bado, Je bila Mabadiliko, siwatahakikisha Kilichotokea 2020 ndicho kinajirudia??.

JESHI linamshikilia LISSU Kwa Uhaini na Uchochezi wa kuzuia Uchaguzi 2025 yaan Jeshi linamkamta LISSU Kwa sababu ya 'NIA' , Kwa Lugha nyingine LISSU akiamua kusema tunaingia uchaguzi hivohivo, Huo Uhaini na Uchochezi unakua HAUNA MAANA TENA.

WITO wangu Kwa TEC Tangazeni Maandamano ya AMANI ya Nchi Nzima Sikukuu ya PASAKA na WAKRISTO wote na WAISLAM wote ambao mnaamini katika HAKI kuhudhuria maandamano hayo !!.

TEC Tanzania ni wakati wenu huu kusimama na Wananchi na Taifa Kwa ujumla, Maaskofi Ukatoliki Duniani kote wamekua msatari wa mbele kupambania Mataifa na ya kuyatoa kwenye Mikono ya Dhuluma .

Bandari kapewa Mwarabu.

Ngorongoro Kapewa Mwarabu .

Nchi knazidi kutafunwa na kutafunwa .

TEC itisheni Maandamano Nchi Nzima sikukuu ya PASAKA !!!.

NO REFORMS, NO ELECTION !!

MUNGU MLINDE TUNDU LISSU!!.
Makamanda mmekimbia kwenye maandamano?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Nani kakuambi LISSU anachochea machafuko??.

LISSU kama sehem ya watanzania kachagua kua Kiongozi tu wa Vuguvugu hili la Katiba MPYA na Mabadiliko Mfumo mzima wa Uchaguzi
Amesema itakuwa kwa maandamano na shari Sasa shari maana yake nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom