TEC sidhani kama wanaweza kujidharirisha kiasi hicho!! Kila kitu kipo mezani....wajaribu waumbuke wao!!! "Bado ni tetesi".......
You must be sick.Unafikiri TEC ni sawa na lile baraza kuu na taasisi zake? TEC viko vichwa vyenye elimu ya hali ya juu ya kuweza kuchambua na kupambanua mambo mazito,hakuna kuhongwa ubwabwa pale.Tenauwe na adabu na TEC manake ina mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi hii katika elimuna afya.Mmekalia kulalamika miaka yote,ovyo kabisa!!
Unamjua Rais wa TEC ? Unamjua aliyekuwa Rais wa TEC kabla ya huyu wa sasa wa Iringa ? Pengo wamjua ? TEC ni habari nzito kaka .Wanao pokea pesa za wana siasa si TEC ni CCT .Kanisa Katoliki habari nyingine na ndiyo maana wamesimama wao pekee na wengine wote wako na CCT .Keep following them utajua .
kwahiyo na hii thread mnataka tuibadiri iwe ya kidini eeh?.You must be sick.Unafikiri TEC ni sawa na lile baraza kuu na taasisi zake? TEC viko vichwa vyenye elimu ya hali ya juu ya kuweza kuchambua na kupambanua mambo mazito,hakuna kuhongwa ubwabwa pale.Tenauwe na adabu na TEC manake ina mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi hii katika elimuna afya.Mmekalia kulalamika miaka yote,ovyo kabisa!!
hawa jamaa wa Tec si ndo wanahusika na scandal ya MOU hawa au nimefananisha majina.?In which planet are you living?TEC members are the regular recipients of CCM financial donation,If TEC members receive financial aids from government officials for the Church projects it means TEC has approved such actions by its members and automatically TEC is involved in such issues.So how could TEC bite the hand that feeds them?Think about it.
ibaki kuwa tetesi
itakuwa dhambi ya mauti kama kanisa likifanya upuuzi kama huo
hata kama wakiambiwa watajitoa kwenye MOu kati yake na serikali ya CCM bora wajitoe.
Ukishazoea kupokea fedha chafu za Michango na harambee kutoka kwa Wanasiasa Mafisadi mwisho wake huwa ndio huo wa kuwa mateka.Ninawasifu Waislamu na Baraza lao la Maulemaa kwani walikataa kabisa kuwa Watumwa wa hawa Mafisadi.TEC is a major disappointment to all of us.
Umeambiwa hizo ni tetesi mbona unawahukumu TEC ? soma kwa makini uelewe
hawa jamaa wa Tec si ndo wanahusika na scandal ya MOU hawa au nimefananisha majina.?
Ingekuwa wakati ule wa Methodius Kilaini ingewezekana kutemper na TEC lakini kwa uongozi huu wa sasa hilo halitawezekana. Askofu Kilaini alishawai kuwa propagandist wa Kikwete, 2005. Ndiye aliyesema Kikwete ni chaguo la Mungu. Ni moja ya maudhi ya kanisa katoliki 2005.
Chief Elungata!
Yaani wewe umekua kama vile una tenda ya kumdhibiti huyo Chadema/Mkristo mwenye chuki na hasada ziso kwisha dhidi ya Uislam/Waislam...ajiitae Nyakageni aka Mkanyageni! Kwi! Kwi! Kwi!
Kila anapohamia au kukimbilia kwingineko humu Jf wapi!...akigeuka anaona Wazee wa kazi;Chief Elungata,Dr.Kahtaan, Eng.Hydrobad,Shariff Ritz na wengineo lukuki wamemganda "kwa nyuma"/mgongoni!Duh! Msijefanza huyu Mkanyageni akajinyonga maskini! Kwi! Kwi! Kwi!
Lakini hakuna haja ya kumuonea huruma maana vita na chuki dhidi ya Waislamu na Uislam kaanzisha/wameanzisha wenyewe kwa kutumiwa na hiyo Chadema yao...sasa watu inatulazim kumalizia tu.
Tuko pamoja saana Al Akhiy;sisi ndugu zenu soote wenye kujitambua,tunakusomeni kwa utuvu mwingi mno kwa jitihada zenu na Ilm mtoayo dhidi ya upotoshwaji wa makusudi na chuki dhidi yetu na dini yetu tukufu! Endeleeni tu kumsokomeza majiti huyo "punda urongo" aka Mkanyageni na Chama/kikundi chao mpaka yawaingie kisawasawa!...namaanisha majiti ya roho siyo "kumoyo"!!? Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
Cc;Tayeb,Boko Haram