Aliyezusha kuwa kina Mkapa wslikuwepo kwenye huo mkutano wa Makongoro ni Lemutuz...
Hawakuwepo zaidi ya wanakijiji wa Mwitongo
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Mkuu,
Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.
Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.
Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Utachapwa wewe mwenyewe,sisi hatuogopi jina