Team za Majeshi na magonjwa waliyo nayo...

Team za Majeshi na magonjwa waliyo nayo...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,765
Reaction score
32,389
Ni kwa nin team za majesh e.g Rhino, Prison etc zinakosa mapenz toka mikoan zilipo? Tunakumbuka jins prison ilivyokuwa ikifanya vyema kipind cha nyuma lakin jesh walipoonesha kuitenga team na wananch tumeona matokeo yake.wananch wa Mbeya wote wakakimbilia Mbeya City.pamoja na kuwa Prison ilifanya vzur chni ya kocha Mwambusi,na baadaye alipoomba wamkuzie maslah jesh walimtema na ndo mwanzo wa kuanza kuporomoka kwa Tz Prisons. Rhino Rangers pia inasemekana kukosa support kubwa toka kwa wanatabora mpaka sasa inashikilia mkia.pamoja na kuwa team imeingia ktk lig mwaka huu.haijaleta changamoto yoyote.imekuwa timu mchekea kabisa ikigongwa gongwa na kila timu ikutanayo.najiuliza tabora hamkuweka mikakati?je huu ndo mwisho wa kuangalia ligi kuu tbr?jaman majesh kuwen karib na wananch.lakin pia mikoan ni wakat wa kuweka mikakat ya team zenu kushnda na kushndana
 
haziwezi kupendwa kwa kuwa si timu za wananchi. wananchi hawana nafasi yoyote ya kushauri ili au lile
 
haziwezi kupendwa kwa kuwa si timu za wananchi. wananchi hawana nafasi yoyote ya kushauri ili au lile

Na kwa akili kama hizi soka letu haliwezi kuendelea. Una ushauri gani wewe? Soka ni sayansi bana. Hata Azam isingekuwa na uwezo kipesa ingeshakufa siku nyingi. Akili matope kabisa.
 
Back
Top Bottom