Team ya wapiga deki mpooo!


Ha hahaaaa....it's all about being confident na kujikubali.
Team naturale oyeeeeee
 
Kuna siku tulikua ofisini zikaletwa Karanga, dada mmoja akachota kumpa mkaka jamani alizikataa. et acha nichote mwenyewe mikono yako ina chemical siilewi.Na ilikua kweli aliskia vibaya.
 
Ukiona kaanza kukunja ndita kimbia...njoo home faster...kina kaka watajua cha kufanya...cc Ntuzu

hahahaa nishatoroka hapa nasakwa kwa udi na uvumba kibao kikiwageukia mi simo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…