Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,001
Reaction score
72,284
Jamanii jamaniii jamanii wajameniiiiiiiiii natumaini hamjambo wote, wagonjwa poleni mtapona semenii AMINAA

Jamani kujichubua kujibadili ngozii kutoka ngozi nyeusi hadi nyeupe kunawatesa watu kisa sijui kutafuta uzurii/urembo hata sielewiiii hadi wanaume nao wanajichubuaa sijui watongozwe nao hata sielewi ndio maana wanaume wamekuwa wachache!

Nimemuona Bi Chau ngozi imekua kama tambara la dekii liliotafunwaa halafu liwe limedekiwa miaka miwili kama ushaliona hilo tambara la deki ndio ngozii ilivyo kaharibika kapaka make up sijui mapouda lakini bado usoni ana ramani ya EAST AFRIKA

Kama we ni mweusi ridhika kama ulivyo ,,kama we ni rangi ya mtume ridhika ulivyo usithubutu kujipiga dekiii mnaharibika mno mnakomaa kweli sijui hamjionii yaan na harufu ya cream mbaya mbayaa,wengi tu tunawaona mlivyoharibika na mtaona wanakuja kuchangia povu linawatokaa hilo

Kila mtu afanye anachopenda lakini badilikenii kujipiga deki ni noumaaaaaa sanaaaaaaaa
Hupendi huu uzi soma tu usikomenti.

wabhejaaaaaaaa😱😱😱😱😱😱😱
 
uzuri kigodoro unakiweza!
hilo tu!
vinginevyo ningekuwa bodyguard wako!

Hata mkono kama wa Jet lee mi nauweza tu ,shost kama unajichubua ???
Uwe bodgad ntafurahijee njoo basii
 
Mmmh!! Huu umbea sasa loh! Dah ila kweli mi paka nkauliza yule bi chau au?? Na uzee huo mweeh! Mi simo!!

Ni balaaa nakuambiaa umemuona ee Munkarii ngoz natural ni nzuri mno sijui ni ushambaaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku nlipanda daladala kuna mmama kajichubua hadi kababuka mashavu...loh
 
Back
Top Bottom