Team wanaume halisi tukutane hapa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Kadri siku zinavyozidi kwenda kumetokea matabaka mbalimbali ya wanaume!kuna wale wanaume wa Dar,wa mikoani n.k

Lakini napenda kuelezea kwamba mwanaume hapa duniani anamwakilisha Mungu na mwanamke anamuwakilisha mwanaume!

Sasa ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na kati ya sifa hizi!;
A;Usiyekata
tamaa(usikubali kushindwa)
B;Msema kweli(muaminifu)
C;Jasiri(roho ngumu)
D;mwenye msimamo(ukisema hapana hata iwe VP ni hapana)
E;Mwenye kutekeleza majukumu yake bila shuruti
F;lazima uwe kichwa na wala sio mkia!
N.B,Ujumbe huu hauwahusu wale akina James Delicious
 
mi ni ali kiba vp ujumbe huu unanihusu au haunihusu????
 
Hahahahaha..mkuu naona umeweka na team kabisa ngoja waje team wema,team zari na team hamisa mobeto..yajayo yanafurahisha mkuu
 
Napiga puchu narudi sasa hivi.
 
hapo kwny msimamo hapana aise mana kuna maeneo unaweza banwa ikakubid kulegeza mashart na vigezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…