Jambo linalonifurahisha ni kwamba kila aliyefukuzwa chadema kwa kuitwa msaliti baada ya kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti aliitwa msaliti na hawa hawa akina halima mdee, na lissu ambao nao wameonja joto lile lile walilowapitisha wenzao.View attachment 3194617
Yana ukweli haya timu Mwenyekiti?
Wamachame safari hii mumeyatimbaBaada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya, Sugu yupo Kimya baada ya wana-Mbeya kumjia juu huko insta na twitter, Boniyai aliyeanza provocation siku Lissu anatia nia amekuwa kimya ghafla, Yericko ameenda jidhalilisha kwenye mdahalo, the list is long.
Kete pekee iliyobaki kwa team Mwenyekiti ni 250mil anazosema atatoa kwa maandalizi ya mkutano mkuu. Sijui atatumia njia gani ila wajumbe wa Chadema ni watu wanaojielewa, wanaweza kula ela yake then kura akala Lissu.
All in all, endapo Mwenyekiti akishindwa, basi tegemea mpambano mkubwa sana kufuata baada ya uchaguzi. There will never be a smooth transition.
Kila kilio kina tune yake mkuu.Jambo linalonifurahisha ni kwamba kila aliyefukuzwa chadema kwa kuitwa msaliti baada ya kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti aliitwa msaliti na hawa hawa akina halima mdee, na lissu ambao nao wameonja joto lile lile walilowapitisha wenzao.
Kumbe hata gazeti la Tanzania Daima alijimilikisha tu isivyo halali?View attachment 3194617
Yana ukweli haya timu Mwenyekiti?
Kuwa na adabu dogoPopoma ana hoja nzito sana safari hii.
Apewe jukwaa ateme nyongo maana kumbe madalali wanatuzungusha ngumi hewani ili wazungushe matonge tumboni
Wananchi wote bila kujali vyama vyao wanaungana na LissuBaada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya, Sugu yupo Kimya baada ya wana-Mbeya kumjia juu huko insta na twitter, Boniyai aliyeanza provocation siku Lissu anatia nia amekuwa kimya ghafla, Yericko ameenda jidhalilisha kwenye mdahalo, the list is long.
Kete pekee iliyobaki kwa team Mwenyekiti ni 250mil anazosema atatoa kwa maandalizi ya mkutano mkuu. Sijui atatumia njia gani ila wajumbe wa Chadema ni watu wanaojielewa, wanaweza kula ela yake then kura akala Lissu.
All in all, endapo Mwenyekiti akishindwa, basi tegemea mpambano mkubwa sana kufuata baada ya uchaguzi. There will never be a smooth transition.
HahahaPopoma ana hoja nzito sana safari hii.
Apewe jukwaa ateme nyongo maana kumbe madalali wanatuzungusha ngumi hewani ili wazungushe matonge tumboni
š¤£š¤£Kuwa na adabu dogo
Ufunuo funua, waraka wa Hamani nao usomwe.View attachment 3194617
Yana ukweli haya timu Mwenyekiti?
Kasoro CCM na Team Mwenyekiti wanamuunga Mbowe.Wananchi wote bila kujali vyama vyao wanaungana na Lissu
Haahaa ndo maana mbowe katoa 250 mil, iliView attachment 3194617
Yana ukweli haya timu Mwenyekiti?
HAY NMI MAONI YAKO KWANI UKO NDANI YA MIOYO YA WAJUMBE?KWANZA ALIYEKUAMBIA WAJUMBE WANAMTAKA LISSU NANI?SEMA UNAMPIGIA DEBE LISSU HUJUI KUWA HIKI CHAMA NI CHETU WACHAGA MNYATURU ANATOKEA WAPI TENA YAANI BORA KIFE KULIKO KUENDELEA MIKONONI MWA LISSUBaada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya, Sugu yupo Kimya baada ya wana-Mbeya kumjia juu huko insta na twitter, Boniyai aliyeanza provocation siku Lissu anatia nia amekuwa kimya ghafla, Yericko ameenda jidhalilisha kwenye mdahalo, the list is long.
Kete pekee iliyobaki kwa team Mwenyekiti ni 250mil anazosema atatoa kwa maandalizi ya mkutano mkuu. Sijui atatumia njia gani ila wajumbe wa Chadema ni watu wanaojielewa, wanaweza kula ela yake then kura akala Lissu.
All in all, endapo Mwenyekiti akishindwa, basi tegemea mpambano mkubwa sana kufuata baada ya uchaguzi. There will never be a smooth transition.
Hizo kura atapata kwa sera zipi? Za kustaafu baada ya 68?Hakuna timu pale, yaani yule mwamba atapata idadi ya kura hadi clubhouse wote washangae.
Utapiga kura?Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.