Huyo dogo atatiwa "dole" live na yale makomandoo ya kimarekani. Na alivyonona, ha ha ha! Jamaa lazima wamchungulie. Unajua, haya matoto babu alikuwa mtawala, akarithi baba, baadaye akarithi yeye ni tatizo. Hawajui shida ni kitu gani; unapozungumzia kukesha porini miezi huwa hawaelewi. Huyo "mbwa" kiduku lazima afanyiwe kweli. Wananchi wa NK wanaishi katika mateso ya ajabu kuwahi kutokea simply mjinga mmoja kawageuza mamilioni ndondocha! Korea lazima iwe kama Germany. Mungu ibariki Israel, Mungu ibariki US.