Kiongozi; uko sahihi. Huwa nawashangaa wajinga humu wanaotaka kumfananisha Kim na Gaddafi au Saddam! Kim "karithi" utawala kwa babaye utamlinganisha kweli na Gaddafi au Saddam waliosota jangwani miaka kufika walipofika? Bonge nyanya lile lisilojua hata njaa inaumaje! Vyovyote iwavyo, wananchi masikini wa N.K. wanaenda kuona enzi mpya kama wenzao wa S.K. wenye maisha ya staha.Kiduku hana ubavu wa kuipiga US technically or strategically....vita ni combination ya many factors of which NK ni immature and incompetent in warfare ukilinganisha na The US
US isingekuwepo sijui dunia ingekuwaje! God bless Amerika; God bless Israel.I stand with Americans c bora ata wamarekan wa
Mnyoa viduku ni chama rafiki na chama letu. Hata kwenye mikutano mikuu yao huwa wanaalikana.Mm ni team America dieharder bora ata wamarekan wanatupa misaada co huyo mnyoa viduku.I stand with Americans
Ile ilikuwa cyber attack ya US. Ni onyo tosha kwa mwenye ufahamu. Kazi kwake, kushupaza shingo au kuwa mtii.Kwanza kiduku hana Ubavu wakumtokotesha Mmarekani kivita marekani wazoefu kwa vita na propaganda wanazijua.. Angalia jana tu Bomu lake limebuma kuruka alafu ndo anatenga vita hajaanza hata kushambuliwa kitu kinabuma ataweza mikiki
Mzee, wewe unawapenda sana Marekani na USA siyo..!?!?!?[emoji2] [emoji119]US isingekuwepo sijui dunia ingekuwaje! God bless Amerika; God bless Israel.
For the sake of the national interest, that's the minimum punishment he deserves. Kukiacha hai kitasumbua sana. Unajua, ukitaka kumuua nyoka, ponda kichwa; na kichwa ndio kile. I am sure, ikitangazwa Kim kanyongwa, NK itashangilia kuliko tunavyofikiria. Wale watu wako na mateso ya ajabu wajameni.Adhabu safi kwa adui si kumwua. Ni kumfanya ajione alivyo mpumbavue.
We unafikiriaje kwani??Saddam muarabu?
lini kaalikwa?Mnyoa viduku ni chama rafiki na chama letu. Hata kwenye mikutano mikuu yao huwa wanaalikana.
For the sake of the national interest, that's the minimum punishment he deserves. Kukiacha hai kitasumbua sana. Unajua, ukitaka kumuua nyoka, ponda kichwa; na kichwa ndio kile. I am sure, ikitangazwa Kim kanyongwa, NK itashangilia kuliko tunavyofikiria. Wale watu wako na mateso ya ajabu wajameni.
Hakuna vita ambayo us alipigana zaidi ya ile vietnam.North Korea anaweza kuwa na kila silaha. Lakini nnauhakika hana maarifa ya kijasusi ya kusimamia vita akashinda. No wonder hata juzi msemaji wao wa mambo ya nje akaanza mikwara bubu. Hizo kelele tuliwahi sana kuzisikia kwa Saddam Hussein (RIP), Muamar Qaddafi (RIP) na hata kwa Ustaadh Usama Bin Laden (RIP). Haikusaidia. muda ulipofika tunajuwa what happened.
Sisi hatuombei vita. Mungu aepushie mbali. Ila sasa kama hakuna namna tufanye je? Inabidi tumbadili huyu madenge kutoka Kim Jong Un kuwa Kim Kardashian.
au mnasema je Team USA?