Team Putin oneni haya malala miko.

Team Putin oneni haya malala miko.

PressTV-Russia warns US against any new sanctions

Msomeni huyo mzee anavyo lalamika kwamba us wakiwawekea vikwazo tena wata yumbisha mahusiano yao.

Who's US.
US anatumia economic pressure kwenye nchi ambazo anaona ni hatari kwa maslahi yake. Amerika tatizo lake anajiona yeye ni baba lao wa Dunia, sasa zikitokea nchi kama Russia, China,Iran n.k anaona ni kikwazo kwake. Hiyo ndiyo sababu Amerika anatumia economic pressure nia ni Ku' completing American tasks.

Sasa maamuzi mengine anayoyachukua ni mabaya hususan kwa nyakati alizokuwa nazo hizi. Kwa sababu Russia yapo makampuni makubwa ya Amerika ambayo yamewekeza kule, kampuni kama Cisco system inc, Apple inc, Pepsi Co, McDonald n.k: Kuweka vikwazo Russia makampuni yake nayo yanaathirika. Kingine ni kwamba, Russia haitokaa kimya tu na kutizama kuhusu sanction anazofanyiwa, eti na asifanye chochote(?) Hicho kitu hakipo.

What sanctions? Mwenzake Russia anajiimarisha sasa hivi, vitu wanavyomuwekea vikwazo yeye anakomaa anazalisha mwenyewe nyumbani. Kingine anatafuta ushawishi kwenye mataifa mbalimbali. Putin anazunguka sana sasa hivi, moja ya mizunguko yake ni kutafuta ushawishi. Kwa hiyo, ni suala la mahesabu tu. Ngoja tuangalie nani ni mwenye akili kubwa.
 
TUKO IZRAIL NA GAZA KWANZA MSITUSAHAULISHE KINACHOENDELEA HUKO
Huko tayari kumesha poa, mkuu mbaka kiongozi amejiuzuru kwa hasira, sijui alitaka kuumiza Gaza kiasi gani iliatosheke.

Duniani hakuna haki.
 
US anatumia economic pressure kwenye nchi ambazo anaona ni hatari kwa maslahi yake. Amerika tatizo lake anajiona yeye ni baba lao wa Dunia, sasa zikitokea nchi kama Russia, China,Iran n.k anaona ni kikwazo kwake. Hiyo ndiyo sababu Amerika anatumia economic pressure nia ni Ku' completing American tasks.

Sasa maamuzi mengine anayoyachukua ni mabaya hususan kwa nyakati alizokuwa nazo hizi. Kwa sababu Russia yapo makampuni makubwa ya Amerika ambayo yamewekeza kule, kampuni kama Cisco system inc, Apple inc, Pepsi Co, McDonald n.k: Kuweka vikwazo Russia makampuni yake nayo yanaathirika. Kingine ni kwamba, Russia haitokaa kimya tu na kutizama kuhusu sanction anazofanyiwa, eti na asifanye chochote(?) Hicho kitu hakipo.

What sanctions? Mwenzake Russia anajiimarisha sasa hivi, vitu wanavyomuwekea vikwazo yeye anakomaa anazalisha mwenyewe nyumbani. Kingine anatafuta ushawishi kwenye mataifa mbalimbali. Putin anazunguka sana sasa hivi, moja ya mizunguko yake ni kutafuta ushawishi. Kwa hiyo, ni suala la mahesabu tu. Ngoja tuangalie nani ni mwenye akili kubwa.
Yaah, hapa ni kutega timing mwanzo mwishi, akili ndefu ndio itapata matokeo mazuri, late's keep on wait n see.

Yajayo yatafurahisha.
 
Who is US ? Swali zuri

US ni bwana wa makoloni kuanzia Eu ,Asia na Afrika kasoro Russia ,-Iran na North korea. .nchi watumwa wa US wanapigwa biti na nchi moja eti wasifanye biashara na nchi huru 3 nazo ni Russia,Iran na North korea

Putin analalamika sabb nchi zaidi ya 1000 watumwa wanagopa kufanya biashara na Russia kisa mume wao kawakataza..

I respect Putin a lot ..His country sacrificed a lot in the liberation of oppressed African countries during colonial era
 
hivi africa nchi gan inafanya biashara na russia ukiacha biashara ya vifaa vya vita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom