Weka pichaAsalaaam Wandugu, naomba kuifaham hii Simu aina mpya ya simu NOKIA EDGE, technologia yake, Apps zake, Na hata bei yake kama inawezekana.... Asante
Weka picha
Hiyo huaweiMzigo buu haapaView attachment 1088686
Sasa hata ikiwa na 5G boss kwa bongo ina maana gani labda tu kama unaishi ughaibuni maana hapa bongo 4g mpaka leo kimbembe baadhi ya Mitandao.Hii kitu ina 5G
Sijakuelewa mkuu! Ina maana Nokia edge kama aliyoielezea mdau haijawahi kutengenezwa?Hakuna simu kama hiyo, ni concept tu watu wanadanganyana internet. Ipo miaka kibao inatrend.
Ndio mkuu haijawahi kutengenezwaSijakuelewa mkuu! Ina maana Nokia edge kama aliyoielezea mdau haijawahi kutengenezwa?
Watu waliishaondoka kwenye ma home button, yeye ndio kaona vipya, nokia miyeyusho sana.Samahani wadau mzigo huu hapaView attachment 1091918
Nokia Edge!!! How mbona kwenye back cover Kuna Logo ya HuaweiMzigo buu haapaView attachment 1088686