toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 58
Naamini Membe kashajipanga vilivyo
Sasa bora tujakua team yake kuanzia kwenye media, online media, serikalini, sekta binafsi, ndani ya chama, nje ya nchi etc
Hiii ni muhim tukajua ili akipata urais tusijeanza lalamika ohhh sijui nani katokea wapi au akianza kulipa fadhila tukaanza kulalamika
kwa kuanza tuuu kuna habari kuwa kwenye kona ya Membe ni hawa hapa chini na sababu nyote mnazijua: