Captain-Chui
Member
- Dec 11, 2014
- 80
- 49
Tanzania kuna watu wa ajabu ajabu wengi tu.TEAM Lowassa kweli mna nguvu kubwa kisiasa nchini, na mna wafuasi wengi. LAKINI msije mkajiachia hiyo nguvu yenu ikawalewesha mkafikiria mmeiweka CCM mfukoni. Pamoja na nguvu yake na marafiki zake na wafuasi wake mkumbuke LOWASSA sio CCM. Kwa sasa Team Lowassa bado mmelewa mnafikiri Lowassa ndio CCM. Walio nje ya Team Lowassa wameshaona dalili kwamba CCM haiwezi kumchagua Lowassa, na upinzani haitamkubali Lowassa.
.
hata akibakia ana nini kitakachomsaidia ccm?yaan lowasa ahame ccm?! Si watafilisika hao watu!
ngoma inogiletushajipanga tayari kwa lolote. Ccm ni sawa tu na baba na mama ambapo ukifikia hatua ya kujitegemea unakaa pembeni na mambo yanaendelea kama kawaida. Hatuwezi kuruhusu kikundi tulichokipa dhamana kutuandalia raisi dhaifu kama membe huku tukishuhudia kijana mdogo mwenye malezi ya "baba chovya ugali usisahau na kuchukua nyama" (ndanda kojanga osola nenyama) kama makonda kumtukana mtu mwenye umri wa baba yake. Lowassa kinachosumbua ni nguvu na kuwa na wafuasi wengi kote tanzania hali iliyosababisha wapinzani wake kumulika tochi zao zote kwa lowassa. Mimi nashangaa sana kwani hivi karibuni wana ccm wengi tu wametangaza nia lakini wala hatujasikia wakikemewa! Mie nasema awamu hii hatuangilii uzuri wa bendera isipokuwa mtu.
fungua TBC utamuonaLowasa Hivi Ninani Huyu Ni Msanii Wa Bongo Muv Au Fleva