Team Lowassa msishangae ndege yenu ikishindwa kuruka kwa kukosa mafuta!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Team Lowassa msishangae ndege yenu ikishindwa kuruka kwa kukosa mafuta!

Hili ni angalizo tu kwenu, mjue kampeni za urais sio lelemama!

Baada ya TV zote kudhibitiwa vilivyo na TCRA, sasa ni mwendo mdundo kwa upande wa magazeti na mitandao ya kijamii.

Pia huko tunakoelekea, ipo siku mpendwa wenu atafika airport akute ndege haina mafuta!

Mjiandae mapema 'kisaikojolea' maana mnapambana na chama dola!
 
Kushindana na nguvu ya umma ni ngumu sana ndugu yangu..... Dola haiwezi kufanikiwa hata siku mmoja..... Kuna waliokuwa na nguvu kama Kaunda, MOI, Ghadafi?
 
Team Lowassa msishangae ndege yenu ikishindwa kuruka kwa kukosa mafuta!

Hili ni angalizo tu kwenu, mjue kampeni za urais sio lelemama!

Baada ya TV zote kudhibitiwa vilivyo na TCRA, sasa ni mwendo mdundo kwa upande wa magazeti na mitandao ya kijamii.

Pia huko tunakoelekea, ipo siku mpendwa wenu atafika airport akute ndege haina mafuta!

Mjiandae mapema 'kisaikojolea' maana mnapambana na chama dola!

Yaani watu kama hawa ndio wanaleta machafuko nchini.
 
Back
Top Bottom