Team Lowasa na Android App

Team Lowasa na Android App

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Wakuu,

Kwa kuonesha huyu jamaa yu Serious na kuutaka U Rais, team yake imekuja na android app kwa jina Team Lowasa.
Kwa wale mtumiao device zinazo run on top of Android Operating System,nenden kwenye Play store mtaiona.
Naandika haya kwa Masikitiko kwa kuwa bado UKAWA hawajatupatia counter attacks zozote juu ya huyu Kiumbe.
Ni hayo tu wakuu.
Hongereni sana akina Pasco , Mko mbele sana ki FITNA
 
Last edited by a moderator:
Duh huyu jamaa akiokosa urais sijui atajificha wapi
 
Jamani, yeye hafanyi juhudi za Urais hapo alipo. Anachofanya ni kuhakikisha anabeba bendera ya CCM kwenye uchaguzi 2015 basi, suala la urais anajua fika una wenyewe ambao ni UKAWA.
 
Na hapati wala nn fanyeni yote mtaelewa tuuuu hata mkitengeneza nn
 
wakuu hata UKAWA wana android application ingie kwenye play store tafuta ukawa tanzania
 
Lowasa, everyday Lowasa, ndo mnazidi kumpa promo. Nadhan ndo jina maarufu kwa sasa TZ
 
Back
Top Bottom