Team lowasa bus hili hapa

Team lowasa bus hili hapa

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Ile safari ya matumain kwa wasaka pesa imeanza
 

Attachments

  • 1433264895258.jpg
    1433264895258.jpg
    27.2 KB · Views: 2,301
attachment.php


Naona kama plate number za kichina au macho yangu?
 
attachment.php


Duh hii sasa hatari kubwa sijui akiukosa itakuwa vipi.
 
The way to magogoni...

Amefika moshi sasa anakuja magogoni..
 
What will happen huyu jamaa asipopata urais maana it is terrible tamaa aliyo nayo ya Ikulu.
Atakuwa kama Mitt Romney, mgombea uraisi wa Marekani kupitia chama cha Republican. Alijiaminisha kwamba angempiga chini Baraka Obama kwenye uchaguzi wa 2012, kilichotokea yeye na wapambe wake hawakuamini mpaka dakika ya mwisho!.
 
haaaaa nimefurahia jamaa aliyegundua namba plate za kichina haaaaaa!!!!!!!
 
Hizo picha za kwenye basi ni za Lowasa au za Koffi Olomide? Au macho yangu tu.
 
Back
Top Bottom