Team JPM ni akina nani?

Ni ujinga kulazimisha eti JPM hakuwahi kupendwa!

Ni wachache saana wanaoamini hivyo, na wakitaka kumsema JPM, utawaona hadi mishipa itawatoka ili waamini wanasikiwa!

Lakini wengi wa watanzania tuliomkubali mwamba, lugha ya kumsemea ni laiiini na inaeleweka!

Mpumbavu zao vyeti feki na duni.. a ambao kuishi kwao mpaka wasuke madili!
 
😆😆😆😆 Wakamuulize huyo huyo Lowasa na Sumaye walikoishia.
 
Magufuli ndiye rais wa Tanzania wa muda wote kuwahi kutokea "president of all the time"....
 
Team JPM ni Mapoyoyo yaliyotemwa kutoka kwenye Asali.

To be Honest wanatakiwa kuitwa "Team Mapoyoyo"😆
 
Hawaaminiki tena, kama hawa ndiyo kina Sabaya ni nani atawaamini? wanataka watawale ili nchi iwafanyie nini? au waifanye nini nchi
 
Ndio shangaa sasa, jpm ni mwana ccm, mama samia ni mwana ccm, mbowe ni mwana chadema. Sasa hatujui wako upande upi wa ccm, chadema ama hicho chama kipya kilichoanzishwa?
 
Siku hizi Hayati JPM kawa dili ,kila mtu akitaka habari iwe nzuri anatumia jina lake ,akitaka thread ichangiwe analitumia Jina lake .Hii ni mpaka vyombo vya Nje ,kwa Kifupi mwamba Aliacha legacy ya kipekee na haitafutwa .
Akitaka habari yake iwe nzuri?! Unaweza kumtumia dhalimu ili habari yako iwe nzuri? Huyo ambaye inasemekana wanaomkosoa ni walioko mitandaoni, lakini walioko mtaani ndio wanamuelewa?!
 
Hata hivyo team samia ni huko maofisini kwenu lakini huku ground ni team jpm na tunasubiria direction. Natuma salamu kutokea kaburini chato!!!!!

Yeye jpm mwenyewe ilibidi anajisi uchaguzi ili kutangazwa mshindi. Sasa sijui ni ground ipi unazungumzia.
 
Haohao wanaoogopa ushawishi wa JPM na wafuasi wake ndio wataanzisha lichama kwa jina la JPM ili kuwasambaratisha haohao.

Ni mbinu ya kuwahesabu ^mahasimu^ wa utawala.

NB: Team JPM ni mimi hapa. Achana na hao feki!
 
Hebu ielezee hadhira namna ulivyompenda. Weka mapenzi yako hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…