Team JPM ni akina nani?

Team JPM ni akina nani?

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,393
Reaction score
4,083
Wadau nimekuwa Nasikia TEAM JPM mara SUKUMA Gang je Hii TEAM JPM ni AKINA NANI?

na Hii SUKUMA Gang nayo ni AKINA NANI?Ninachojua JPM alikuwa Mwanachama wa CCM ni Dhahiri hiyo TEAM JPM nao ni Wanachama wa CCM

Je CCM imepasuka Mapande Mawili? Ngoja tusubiri Maadam TEAM JPM WAMEAMUA KUJIPANGA

1657692751748.jpg
 
Siku hizi Hayati JPM kawa dili ,kila mtu akitaka habari iwe nzuri anatumia jina lake ,akitaka thread ichangiwe analitumia Jina lake .Hii ni mpaka vyombo vya Nje ,kwa Kifupi mwamba Aliacha legacy ya kipekee na haitafutwa .
 
Nimeshawahi kupost uzi fulani apa jf
Kuwa JPM mwaka 2025 chama chochote kitakacho tumia jina lake au legacy yake kwenye 100%100 kina 95% 100 ya kushinda uchaguzi uo kwa njia yeyote hile
 
Wadau nimekuwa Nasikia TEAM JPM mara SUKUMA Gang je Hii TEAM JPM ni AKINA NANI?
na Hii SUKUMA Gang nayo ni AKINA NANI?Ninachojua JPM alikuwa Mwanachama wa CCM ni Dhahiri hiyo TEAM JPM nao ni Wanachama wa CCM
Je CCM imepasuka Mapande Mawili? Ngoja tusubiri Maadam TEAM JPM WAMEAMUA KUJIPANGA
View attachment 2289027
Team JPM ni wale wote waliokuwa wanajuhusisha na wizi wa Mali za uma na kuzipeleka kwao kama JPM alivyokuwa akiijenga chato

Kifupi Sukuma gang ni wale wauwaji waliokuwa wanateka watu na kuuwa wakiongozwa na JPM mwenyewe
JamiiForums441172000.jpg
1647437506375.jpg
 
Back
Top Bottom