TEAM B-13 ushuhuda wangu juu ya supernatural powers

....."It worked for me na hata matajiri wengi duniani" Really!!???, Unayosema yangekuwa kweli kusingekuwa na masikini duniani!,

Halafu mbona unawasemea matajiri wengine!, Wewe ni tajiri?
wengi ni maskin coz wengi hawajui hiyo siri na weng wameclose their mind kujifunza ata mtu ukimwambia anaona unaongea nonsense mfano mtu kama wew mim tangu nimejifunza maisha yangu yamebadilika kwa kiasi kikubwa niko financial stable na soon naenda kua moja ya matajiri wakubwa tz my little advise kwako open ur mind penda kujifunza usipende kubisha kila kitu
 
Na ndiyo hasaa ninachomaanisha mimi! Mtu aliyeko mbele yako. Unajua hili la kumsoma mtu kama anasema uongo au kumsoma mambo mengine madogo madogo ni wengi wanaweza. Hata mimi. Ila nachopinga ni kujiweka level ya juu kama unavyodai.
 
....Mkuu kwa ushauri tu, Fanya kazi kwa bidii! hakuna mtu amewahi kuota utajiri NEVER, People work to earn their living,

Nashangaa kuona mtu kama wewe ( Usikute una familia ) kuamini vitu cheap namna hiyo!

Sikatai kujifunza vitu vipya ila inategemea najifunza nini na kwa manufaa gani!

Hivi nikikwambia asilimia karibu 50 ya habari za mitandaoni sio uhalisia utaniamini?

Kingine mkuu being wealthy is a results of either inheritance or work hard, have you ever heard of a saying that says "Work hard pays"?, So stop dreaming for a good life instead work for it!
 
....Alafu umesema your going to be one of those 'matajiri' wakubwa in Tanzania, why not all over the world! ni kwamba there is limitations of that power of mind ama?
 
Mkuu embu jifunze hii kitu

Embu nenda Google ukaongeze maarifa
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]nakushauri endelea usiache ila pia punguza na ukiweza acha kabisa kutumia vilevi na nyama.. Pendelea kula vya kuchemsha na nyimbo zako ziwe za kutulia mantras na nyimbo za meditation
 
Nlikua nasubir kwa hamu neno lako

Ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Huyu Msomi hewa mbona anatumia nguvu kubwa kupinga vitu asivyovijua?

Oky, asilaumiwe maana hata kujiita majina fulani huleta uhalisia kidogokidogo
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]nakushauri endelea usiache ila pia punguza na ukiweza acha kabisa kutumia vilevi na nyama.. Pendelea kula vya kuchemsha na nyimbo zako ziwe za kutulia mantras na nyimbo za meditation
Kula nyama tena...Daah! Na ninavyopenda kusikiliza nyimbo za kina Eminem na wana Hip Hop wa Bongo kama Roma Mkatoliki sasa...

Anyway, ntaacha kula baadhi ya nyama ila nyingine ntapiga kama kawa

Pombe situmii, ila najiibaga kwenye weed

Wacha nianze kudownload hizo audio za meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…