....Your suffering from hallucinations!wapi nilipo andika bangi?
....Ha haaaa Indeed your an Epitome of Drug addict.Usinijaribu
Hapo uliposema una uwezo wa kusoma bord leagues, nadhani hizi zinapatikana sayari ya Jupiter!wapi nilipo andika bangi?
Si kwamba umejaliwa,wanadamu wote wanazo nguvu za Asili kilichopo wanazitumia vipi Kwa mema au mabaya,ukipewa elimu yeyote kuhusu hizi natural power unaweza zitumia usirogeke au kudhurika,mm huwezi nilogakwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's
Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.
Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma bord leagues
Pia naweza kusoma macho ya MTU nikisha angali macho yako naweza kujua unachoongea ni cha kweli au so kweli .
Bado sijawa mwalimu mzuri wa haya mambo naendelea kuyafatilia kwa ukaribu
Hongera, jitabirie tu lini noti zitakutembele.kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's
Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.
Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma bord leagues
Pia naweza kusoma macho ya MTU nikisha angali macho yako naweza kujua unachoongea ni cha kweli au so kweli .
Bado sijawa mwalimu mzuri wa haya mambo naendelea kuyafatilia kwa ukaribu
...hebu tufungue macho mkuuhiyo nguvu ya kupata unachotaka kwa kuhisi umeshapata na kuanza kufurahia kua nacho kila mtu anayo sema wengi hawajui kuitumia
....Inafanyaje Kazi?hiyo nguvu ya kupata unachotaka kwa kuhisi umeshapata na kuanza kufurahia kua nacho kila mtu anayo sema wengi hawajui kuitumia
Hakuna miujiza inayokuja kukupa pesa bila kufanya kazi lazima utoke jasho....Acheni kuishi kwa expectation na muanze kufanya kazi Alaaah!
Naomba kazi mkuu....Vijana Fanyeni kazi, Acheni matumizi ya bangi.
.....Kumbe unajua kama hakuna miujiza inayokupa pesa bila kufanya kazi!Hakuna miujiza inayokuja kukupa pesa bila kufanya kazi lazima utoke jasho
Powers of mind ni-ile hali inayokupa furaha ya kupigania malengo yako
Hakuna mtu wala kiumbe chochote kinachoweza kukukatisha tamaa ya kupigania malengo yako ni hali ya ujasili ambayo ipo ndani yako
Hata akiondoka MTU muhimu katika hisia zako haiwezi kusababisha kukata tamaa kwenye kufanya shughuli zako za kujiingizia kipato ukikosa Powers of maind basi tunakutizama katika jicho LA MTU ambae bado hujajitambua.
Nimejaribu kukupa baadhi ya hit points