Teacher anafanya nini hapa?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,294
Reaction score
98,921


Wengine wanasema teacher alikua anafundisha Reproduction kwhyo dent akawa anataka kufanya practical...Je unadhani kitu gani walikua wanafanya?
 
hii picha mbona kila siku mnaizungusha humu!!!
 
Kuna ukweli wowote kuwa huyu ni Mwl?
 
Hao wamekubaliana si unaona paka amekubali kulala chali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tumeichoka hiyo picha, mnabadilisha heading tu, ipo na maheading kibao humu,
 
Huyu atakua batch ya voda faster.
Hawafundishwi maadili wala hawana wito wa ualimu hata chembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…