1.bibie inaelekea ndie kaweka uzio si unamuona? katazama pembeni kabisa.
2.wanapendana sana hawa,kama sio mbona hawajazima taa?
3.Hiyo sio suluhisho ili mradi shuka moja,na chini ya shuka hakuna seng'enge USIKU WA MANANE LAZIMA WANYATIANE TU.
CHA MSINGI HAPA NI KUWA USIWANONE WATU WANACHEKA WANATEMBEA NA KULALA PAMOJA.....NDOA ZINA MATATIZO MAKUBWA SANA