Tcu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
 1. J

  JACOB MANG'OMBE Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number ya diploma inkataa kwamba haipo katika record zao, any idea pplzzz? Thanx in advance.
   
 2. E

  Esir Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Aisee nami inanisumbua hiyohiyo je umeshajaribu kuwapigia simu kwa namba zao walio zitoa hapo juu?
   
 3. basa

  basa Senior Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  mpaka tar 7 may ndo mtawez nw n 4m 6 tu ndo wanaweza.
   
 4. kikwakwa

  kikwakwa Senior Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nijuavyo mimi chuo mfano sua equivalent wana apply moja kwa moja chuoni na co kupitia tcu
   
 5. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jaribu pia kuona kama miaka ya kumaliza masomo iko within requirement na ufaulu uko in line na wanavyotaka - guide book 2012/2013
   
Loading...