victorlukumba
Member
- Aug 22, 2019
- 6
- 1
Vyuo vikuu vya selikali mbna kimya katika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa round 2!!
Usiteseke mkuu....ingia tu kwenye tovuti ya tcu kuna majina ya wanafunz walioaply toka round ya kwanza na hii ya pili kwa nchi nzima majina yametoka leo ila kwa vyuo naona kimyaVyuo vikuu vya selikali mbna kimya katika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa round 2!!
Mkuu kama una pdf ya udom,tuwekee hapaUdom wameshatoa