Tcu

Tcu

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
3,290
Reaction score
3,946
Inasemekana kesho TCU watatoa tamko la kuomba radhi kwa ucheleweshwaji tena wa matokeo!..mpaka sasa haijajulikana rasmi ni lini watakamilisha matokea yote!
;.....source;leaked gov.info
 
Nyie andamaneni 2,vingnevyo wawarudishie chenji zenu..wasiwazingue.
 
Hivi slogan ya miaka 50 ya uhuru inasemaje?
 
bhana haw wa2 nmeshindwa kuwaelewa situation zao sijui mpaka lin watatoa matokeo
 
Back
Top Bottom