TCU yaanza kuwatoza ada ya Sh. 20,000 wanafunzi

TCU yaanza kuwatoza ada ya Sh. 20,000 wanafunzi

We ungekuwa ushawai hata kulipa ada ya chekechea kwa pesa yako hata usingesema hayo..... Pesa bila kujua inaenda kufanya kazi gani ya msingi kwa mtoaji inauma bwana, hata kama ni buku.
Suala la kutokea hizo gharama halina uhusiano na elimu bure..... Kwani ina uhusiano na ada iyo...
HAPA KAZI TU....mlipe
 
Ccm ni ile ile....ooohhh ni ile ilee...
Mmeichagua wenyew.....chaguo lenu ni ccm....
Wacha tuisomee namba eeeeeeee ccm mbele kwa mbeleeeeeeeeee....
Nahis kun issue zimekwama hivyo serekali inajitahidi kubalance na wanafunzi wachangie kidogo
 
naomba wale wote tunaosomea sheria, tukasimamishe hyo tozo mpaka itolewe ufafanuzi kisheria, kesho tuanze kazi.
 
Udom huku shida diploma wanaisoma nmb hawapewi pakulala bila kujisajili na kulipa 20000/= hiyo mimi naona pouwa tu tuisomage nmb mdogo mdogo labda tukipata vimateso km hivi ipo siku tutaja badilika hapa kazi tu mtaisoma nmb
 
Kuna vijana pale UDOM ambao hawajachaguliwa na TCU na wanasoma diploma mbalimbali ikiwemo ile ya elimu a.k.a special diploma wanatakiwa kulipa hiyo 20,000/= hali hawana uhusiano wowote na TCU. Huu si utakuwa mpango wa kuwapora wanafunzi hawa laivu bila aibu kabisa???
Hii nchi inakoenda sijui ni wapi ??
 
ambae ajapitia hili gumzo ni vgum kiamin tunacho lalamika bt ukwel ni kwamba hali ni mbaya, nikija kufanikiwa kujisajil na kuanza kusoma na kupokea boom, nitaandika makala ya maana kuhusu hili
 
ha ha ha mbona mnalialia jaman, 20,000 ni kila mmoja anamlipia ada mwanafunz wa secondary mlifikilia bureeee
hakuna cha buree
bora sis cap town university hatuna hayo
 
wakuu kuna fununu direct cost imeshuk n kuw lak mbil n elfu ishirn n saba au n story tu??
 
We ungekuwa ushawai hata kulipa ada ya chekechea kwa pesa yako hata usingesema hayo..... Pesa bila kujua inaenda kufanya kazi gani ya msingi kwa mtoaji inauma bwana, hata kama ni buku.
Suala la kutokea hizo gharama halina uhusiano na elimu bure..... Kwani ina uhusiano na ada iyo...

noma sana,, nahisi ni kichwa wa kibaha boys
 
Back
Top Bottom