TCU watoa mwongozo mpya kwa MULTIPLE APPLICANTS 2018/2019

Kwa iyo na hayo majina yatatumwa loan board au ndo tusahau??
Jina lako likishaingia TCU Mara moja heslb wanalipata,uwe na multiple admission, qualified au prior admission status.kwa hyo kijana tulia tu kopo utapata
 
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inawatangazia waombaji waliochaguliwa na chuo zaidi ya kimoja ambao hawakuweza kuthibitisha udahili wao au walishajithibitisha ila wangependa kujithibitisha tena kwenye chuo kingine kuwa, sasa wamepewa fursa ya kwenda kujisajili kwenye vyuo wanavyopenda. Utaratibu huu unawahusu waombaji ambao majina yao na vyuo walivyochaguliwa yameorodheshwa katika orodha iliyochapishwa na Tume. Vyuo vyote vinaagizwa kuwa utaratibu huu unawahusu wale tu waliochaguliwa katika vyuo vyao kama wanavyoonekana kwenye orodha. Imetolewa na: Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania 23/10/2018
 
hivi hii hali haitoathiri mikopp kweli kwa waliopata first batch?
 
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inawatangazia waombaji waliochaguliwa na chuo zaidi ya kimoja ambao hawakuweza kuthibitisha udahili wao au walishajithibitisha ila wangependa kujithibitisha tena kwenye chuo kingine kuwa, sasa wamepewa fursa ya kwenda kujisajili kwenye vyuo wanavyopenda. Utaratibu huu unawahusu waombaji ambao majina yao na vyuo walivyochaguliwa yameorodheshwa katika orodha iliyochapishwa na Tume. Vyuo vyote vinaagizwa kuwa utaratibu huu unawahusu wale tu waliochaguliwa katika vyuo vyao kama wanavyoonekana kwenye orodha. Imetolewa na: Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania 23/10/2018
Ukisoma tangazo uwe na maudhui ya lile tangazo la UDSM raundi inayoendelea kichwani ambalo linaruhusu waombaji wapya kuomba hata kama wameshachaguliwa vyuo vingine. Hapa naona:
Kwanza hilibtangazo linahalalisha yale ya UDSM amabayo yanakwenda na mfumo walioweka wenyewe TCU na vyuo.
Pili ni dhahiri sasa hakuna kuzingatia capacity ya chuo-yeyote aliyekuwa na multiple selection yuko huru sasa kubadilisha mawazo. Miundo mbinu (majengo, maabara, walimu etc) itweza kukope kama capacity ya chuo itazidiwa na namba ya wanafunzi? Hii inaweza kuwa tatizo kubwa kwa "vyuo vyetu pendwa".
Tatu kuna uwezekano upelekaji wa mikopo vyuoni ukaingia dosari-kuna watakao cheleweshewa mikopo, kuna watakaopishana na mikopo, sitashangaaa wengine kupata mkopo zaidi ya mmoja.
Nne imani yetu na mfumo uliotumika itakuwaje-kati kati ya mchezo sheria zinabadilishwa. Ni dhahiri mfumo huu wa DAS (Direct Application System-sio msamiati rasmi) ni kiini macho, imefika muda kupitia mfumo mzima.
 
UTARATIBU MPYA KWA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA NA CHUO ZAIDI YA KIMOJA
Nimechaguliwa UDSM kozi ya ualimu lakini walipotoa majina ya wanufaika wa mikopo jina langu halimo je wanaweza kunikumbuka raundi ya pili?au nimekosa kabisa?naomba ushauri kwa mnaofahamu utaratibu !!!
 
Ukisoma tangazo uwe na maudhui ya lile tangazo la UDSM raundi inayoendelea kichwani ambalo linaruhusu waombaji wapya kuomba hata kama wameshachaguliwa vyuo vingine. Hapa naona:
Kwanza hilibtangazo linahalalisha yale ya UDSM amabayo yanakwenda na mfumo walioweka wenyewe TCU na vyuo.
Pili ni dhahiri sasa hakuna kuzingatia capacity ya chuo-yeyote aliyekuwa na multiple selection yuko huru sasa kubadilisha mawazo. Miundo mbinu (majengo, maabara, walimu etc) itweza kukope kama capacity ya chuo itazidiwa na namba ya wanafunzi? Hii inaweza kuwa tatizo kubwa kwa "vyuo vyetu pendwa".
Tatu kuna uwezekano upelekaji wa mikopo vyuoni ukaingia dosari-kuna watakao cheleweshewa mikopo, kuna watakaopishana na mikopo, sitashangaaa wengine kupata mkopo zaidi ya mmoja.
Nne imani yetu na mfumo uliotumika itakuwaje-kati kati ya mchezo sheria zinabadilishwa. Ni dhahiri mfumo huu wa DAS (Direct Application
Jina lako likishaingia TCU Mara moja heslb wanalipata,uwe na multiple admission, qualified au prior admission status.kwa hyo kijana tulia tu kopo utapata
na haya majina ya mikopo first batch ni kwa walio kuwa confirmed tu?
 
Shukrani sana.. Ndugu
Lakin swali langu LA kwanza je unaenda kufanya usajili katika chuo chochote ulicho chaguliwa lakini kiwe kimoja tu sasa VP kwa wale ambao tumefanya confirmation Mara moja na bado TCU inatutumia code. ???
La pili kama ni usajili chuon kwa watu kama hawa waliotajwa na TCU navyojua ladhima ada na wengine twasubiria laons Bord watasemaje au kuna step nyingne kabla ya hiz?
UTARATIBU MPYA KWA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA NA CHUO ZAIDI YA KIMOJA
 
Mkuu sijaelewa ? Tunafanya usajili direct au kujiandikisha pamoja na kuulipa ada chuo husika?
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inawatangazia waombaji waliochaguliwa na chuo zaidi ya kimoja ambao hawakuweza kuthibitisha udahili wao au walishajithibitisha ila wangependa kujithibitisha tena kwenye chuo kingine kuwa, sasa wamepewa fursa ya kwenda kujisajili kwenye vyuo wanavyopenda. Utaratibu huu unawahusu waombaji ambao majina yao na vyuo walivyochaguliwa yameorodheshwa katika orodha iliyochapishwa na Tume. Vyuo vyote vinaagizwa kuwa utaratibu huu unawahusu wale tu waliochaguliwa katika vyuo vyao kama wanavyoonekana kwenye orodha. Imetolewa na: Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania 23/10/2018
 
Awa TCU baada ya kufanya ivo kuna baadhi ya vyuo ambavyo atukukonfimu leo baada ya kutoa ilo tangazo baadhi ya vyuo kama mzumbe nashangaaa ety wananmbia ety nimechaguliwa mzumbe na yameni2mia admission letter wakat nishaga confimu udom zaman za kale na mkopo nishapewa nasubir asilimia tu
 
Jina lako likishaingia TCU Mara moja heslb wanalipata,uwe na multiple admission, qualified au prior admission status.kwa hyo kijana tulia tu kopo utapata
Nafikiri sijaelewa hili tango. Naomba tafsiri tafadhali. Vp yule mwanafunzi aliepata multiple selection. Kisha alishaenda chuoni akaconfirm anatakiwa afanye nini kwa kutoka kwa hii orodha?
 
Back
Top Bottom