TCU wanatumia vigezo gani kudahili wanafunzi

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Habar wana JF, nauliza vigezo wanazotumia kudahili wanafunz katika chuo husika, kuanzia chaguo la kwanza mpaka la mwisho
 
Yani Umeandika ovyo sana Rekebisha usaidiwe kijana,wengi atujakuelewa.
 
wadau jf mi nataka kujua wanafunzi wa st. joseph arusha wamegoma tangu jana sababu walisikia bungeni mbunge akisema chuo kilisajiliwa kama cha diploma na sio degree, hii taarifa ni sahihi na kwa nini tcu wawapeleke kwenye chuo cha diploma na wawape mkopo?
 
mkuu hiyo taarifa ni sahihi na mkuu wa mkoa kathibitisha sio degree ni diploma
 
wadau jf mi nataka kujua wanafunzi wa st. joseph arusha wamegoma tangu jana sababu walisikia bungeni mbunge akisema chuo kilisajiliwa kama cha diploma na sio degree, hii taarifa ni sahihi na kwa nini tcu wawapeleke kwenye chuo cha diploma na wawape mkopo?

Bila migomo kwa nchi hii mambo hayaendi,hivyo msilegeze kamba mpaka kieleweke na kama kuna watu wanakitumia kwa mkono kwenda kinywani,komaeni mpaka lisanuke.
 
Back
Top Bottom