AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
bado hujamuelewa halaf nadhan ww hujaa aply vyuo mwaka huumkuu tcu wameanza kutoa mikopo lini?
ni akina nani wamepata mikopo kutoka tcu?
Mbona inazba mackio kwa kutojua ktk kitabu cha muongozo Tcu guideline kuna orodha ya vyuo na koz zake na mbali zaid hzo kpz zmeoneshwa priority or no prority in loansmkuu tcu wameanza kutoa mikopo lini?
ni akina nani wamepata mikopo kutoka tcu?
kuna connection kubwa kati ya maisha masikini ya watanzania na iyo issue ya priority courses. watoto wengi ni wa masikini na walienda kurundikana kwenye priority. waondoe hizo priority, kwasababu mtu anakopa mkopo wa kulipa, waachwe waamue course yoyote, si mkopo?Mbona inazba mackio kwa kutojua ktk kitabu cha muongozo Tcu guideline kuna orodha ya vyuo na koz zake na mbali zaid hzo kpz zmeoneshwa priority or no prority in loans
Hvyo bas unatakiwa kujua hilo kuna connection btn koz na loans
Hyo kwelMbona inazba mackio kwa kutojua ktk kitabu cha muongozo Tcu guideline kuna orodha ya vyuo na koz zake na mbali zaid hzo kpz zmeoneshwa priority or no prority in loans
Hvyo bas unatakiwa kujua hilo kuna connection btn koz na loans
N kwel mkuukuna connection kubwa kati ya maisha masikini ya watanzania na iyo issue ya priority courses. watoto wengi ni wa masikini na walienda kurundikana kwenye priority. waondoe hizo priority, kwasababu mtu anakopa mkopo wa kulipa, waachwe waamue course yoyote, si mkopo?
Pole mkuuDooooh inauma sanaa mi ni miongon mwa waliopatwa na hilo janga had ss cjui nifanyeje
bado hujamuelewa halaf nadhan ww hujaa aply vyuo mwaka huu
idd nipo provissionally selected tangu jumanne..Mbona inazba mackio kwa kutojua ktk kitabu cha muongozo Tcu guideline kuna orodha ya vyuo na koz zake na mbali zaid hzo kpz zmeoneshwa priority or no prority in loans
Hvyo bas unatakiwa kujua hilo kuna connection btn koz na loans
umeandika kitu cha msingi sana sijui tcu itawafikiaje aseenimejiuliza kitu fulani:
1. TCU wameamua kuweka grade ya aina ya masomo wanayoyaita priority na mengine wanayosema sio priority. yale ambayo ni priority kwa kawaida wanatoa full load, yale ambayo sio priority wanatoa nusu nusu.
2. wanafunzi wengi wanatoka vijijini, masikini kabisa, walipojua kuwa wanaweza kukosa mkopo wa full, wakaamua wote kurundikana kwenye priority courses. chuo kimoja kinataka hiyo course ya priority wanataka watu 200 wanafunzi walioapply ni 4,000 sio kwasababu wanazipenda hizo course bali kwasababu hawana hela ya kuongeza kweney ada. matokeo yake wamekosa wanaambiwa waanze tena kurudia application.
3. wanafunzi waliochunjwa hata kabla hawajapata chuo au kuanza chuo, washakuwa frustrated. hivi aliyebuni huo mfumo wa ukopeshaji, lengo lake hasa lilikuwa ni nini?
4. kwasababu watz wengi ni masikini hawawezi kuchangia, wapewe mkopo full na watarudisha, si wanasema hela zinakusanywa sasa awamu hii, si wakopeshe wanafunzi wasome sasa? full load.
5. jana wakati wanaongea kwenye tv, msomi mzima namshangaa analaumu wanafunzi ati kwanini wamerundikana kwenye course moja mfano ya land valuation, amesahau kuwa wao ndo wanawalazimisha wanafunzi warundikane na hiyo ni evidence kwamba wanafunzi wengi hawana uwezo kulipa ada kwa kuchangia ndo maana kila mtu amekimbilia kwenye priority courses. hao wasomi maofisini hawajui hilo? mnafanya nini ofisini kama mnashindwa kuelewa hayo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]mkuu tcu wameanza kutoa mikopo lini?
ni akina nani wamepata mikopo kutoka tcu?
nimejiuliza kitu fulani:
1. TCU wameamua kuweka grade ya aina ya masomo wanayoyaita priority na mengine wanayosema sio priority. yale ambayo ni priority kwa kawaida wanatoa full load, yale ambayo sio priority wanatoa nusu nusu.
2. wanafunzi wengi wanatoka vijijini, masikini kabisa, walipojua kuwa wanaweza kukosa mkopo wa full, wakaamua wote kurundikana kwenye priority courses. chuo kimoja kinataka hiyo course ya priority wanataka watu 200 wanafunzi walioapply ni 4,000 sio kwasababu wanazipenda hizo course bali kwasababu hawana hela ya kuongeza kweney ada. matokeo yake wamekosa wanaambiwa waanze tena kurudia application.
3. wanafunzi waliochunjwa hata kabla hawajapata chuo au kuanza chuo, washakuwa frustrated. hivi aliyebuni huo mfumo wa ukopeshaji, lengo lake hasa lilikuwa ni nini?
4. kwasababu watz wengi ni masikini hawawezi kuchangia, wapewe mkopo full na watarudisha, si wanasema hela zinakusanywa sasa awamu hii, si wakopeshe wanafunzi wasome sasa? full load.
5. jana wakati wanaongea kwenye tv, msomi mzima namshangaa analaumu wanafunzi ati kwanini wamerundikana kwenye course moja mfano ya land valuation, amesahau kuwa wao ndo wanawalazimisha wanafunzi warundikane na hiyo ni evidence kwamba wanafunzi wengi hawana uwezo kulipa ada kwa kuchangia ndo maana kila mtu amekimbilia kwenye priority courses. hao wasomi maofisini hawajui hilo? mnafanya nini ofisini kama mnashindwa kuelewa hayo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Siku hizi sociology wanatoaga mikopo kweli?
Hawana uhakika wa Ajira kwenye non priority courses. Sasa ukipewa mkopo utaulipaje?kuna connection kubwa kati ya maisha masikini ya watanzania na iyo issue ya priority courses. watoto wengi ni wa masikini na walienda kurundikana kwenye priority. waondoe hizo priority, kwasababu mtu anakopa mkopo wa kulipa, waachwe waamue course yoyote, si mkopo?