mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 169
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza kutuma code hizo hadi sasa... Na zoezi hilo kwa taarifa iliyotolewa na TCU kuwa zoezi hilo linafungwa tarehe 5(kesho)... NATUMAINI TCU INAJUA INAFANYA NINI KWAHIYO WANAFUNZI MSIWE NA WASIWASI MUNGU AWABARIKI