mswahili93
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 210
- 115
Wakuu hv undergraduate guide book ya 2017/18 ishatoka ama??
mnaviherehere sana, ata matokeo bado unaanza kuwa na kiburii cha kuulizia guidebook...Wakuu hv undergraduate guide book ya 2017/18 ishatoka ama??
Hahaha..kwayho we unajua kila mtu kamaliza shule mwaka huu??? SIMPLE MINDED..usiwe unakurupuka
Poapoabado mpk matokeo yatoke bt chek kwny link za vyuo nd utakuta guide za kila chuo nw tcu inahuska na cut point tu.
Mi hemko mingi sana ndugu yangu..
Ushauri : wewe subiri tuu matokeo yatoke afu uangalie pa kwenda yaani.
TCU ipo tuu toka kpindi kile na itakuwapo hadi #Rais_magufuri_amalize_URAISI_WAKE
MWAKA_2050.
mnaviherehere sana, ata matokeo bado unaanza kuwa na kiburii cha kuulizia guidebook...
sasa kama ww sio kizibo ulikua unaulizia guidebook2017/18, itatokaje before tokeo... kweli wewe zombiHahaha..kwayho we unajua kila mtu kamaliza shule mwaka huu??? SIMPLE MINDED..usiwe unakurupuka
Nashukuru sana mkuuUshauri wangu siku zote ni kuwa huu ndo wakati wa kujipanga. Guidebook za mwaka wa jana zipo na prospectus za vyuo zipo kwenye mitandao. Pitia zote elewa kile unataka kufanya, elewa vyuo vilivyopo, factor in uwezekano wa majibu kutokuwa mazuri kama ambavyo ungependa. Majibu yatakapo toka ni rahisi zaidi kufanya maamuzi na elewa mwaka huu kila mtu na lwake usipojipanga unaweza kufanya maamuzi yatakayo kugharimu. Wakati wa kuanza ndo huu
We SIMPLE MINDED....hv unajua guide book ya 15 ilitoka ln?? Mambo yanabadilikasasa kama ww sio kizibo ulikua unaulizia guidebook2017/18, itatokaje before tokeo... kweli wewe zombi
sio kwa mjomba maguWe SIMPLE MINDED....hv unajua guide book ya 15 ilitoka ln?? Mambo yanabadilika
Mmmh mnakariri tu hamjui kuna ambao hawakwenda mwaka janamnaviherehere sana, ata matokeo bado unaanza kuwa na kiburii cha kuulizia guidebook...
M ndo nilikua namchana huyu jamaa...ye anazan kila mtu kamaliza mwaka huuMmmh mnakariri tu hamjui kuna ambao hawakwenda mwaka jana
Hahaaaamnaviherehere sana, ata matokeo bado unaanza kuwa na kiburii cha kuulizia guidebook...